Sehemu hii inafafanua jinsi tiketi yako inavyoshinda kulingana na namba zinazotolewa na mfumo. Shinda 2 ina hatua mbili kuu: Mchezo wa Awali (Base Game) na Droo ya Kiongeza Thamani cha Mega (Droo kubwa) yenye zawadi kubwa.
Ushindi (Base Game Payouts)
Tiketi yako inakuwa na namba mbili tofauti kuanzia 0 hadi 9. Mfumo nao unatoa namba mbili zilizoshinda.
- Namba 1 Imefanana (Dau x 1): Ikiwa namba moja (1) kati ya zile ulizochagua itafanana na namba yoyote kati ya mbili zilizotolewa na mfumo (kwa mpangilio wowote), unashinda kiasi sawa na dau lako la awali.
- Namba 2 Zimefanana (Dau x 2 + Kuingia Kwenye droo kubwa): Ikiwa namba zote mbili (2) ulizochagua zitafanana na namba mbili zilizotolewa na mfumo (kwa mpangilio wowote), unazidisha dau lako mara mbili papo hapo na unaingia moja kwa moja kwenye Droo ya Kubwa!
- Hakuna namba Iliyofanana (Mchezo Umeisha): Ikiwa hakuna namba yako hata moja inayofanana na namba za mfumo, tiketi hiyo haina ushindi.
Ushindi wa Droo kubwa (Mega Multiplier Payouts)
Ukishafanikiwa kupatisha namba zote mbili kwenye mchezo wa awali, mfumo unachezesha moja kwa moja mara 5 kwa nasibu kutoka kwenye orodha hii: 5x, 10x, 15x, 25x, 50x, 75x, 100x, 200x, na 500x.
- Viongeza Thamani 3 Vimefanana: Ikiwa kiongeza thamani cha aina moja kitatoka mara tatu (3) au zaidi kati ya yale machaguo 5, unashinda Dau lako likizidishwa na kiongeza thamani hicho maalum, pamoja na ile zawadi yako ya Mchezo wa Awali (Dau x 2).
- Chini ya Viongeza Thamani 3: Ikiwa hakuna kiongeza thamani kinachotokea mara 3, hatua hii ya Droo kubwa inakuwa haina ushindi. Hata hivyo, unabaki salama na ushindi wako wa Dau x 2 kutoka mchezo wa awali.
Muda wa Dau
Kutoka
Hadi